meno kutoka damu hasa wakati wa usiku,

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
451
Katika hali siyokuwa ya kawaida jamaa yangu anapolala anatoa mate yenye damu na mto anaolalia + mashuka yanakuwa na hali mbaya kama yamevujiwa na damu ambayo akifua shuka/fornya madoa ya damu hayatoki mpaka kwa jick, lakini hayamuumi, ameshang'oa meno 2 katika umri wa miaka 50 hebu tusaidiane wakuu
 
[h=3]Introducing Forever Bright Toothgel[/h]Forever Bright Toothgel combines the remarkable effectiveness of Stabilized Aloe Vera gel and the antibiotic properties of pure, natural Bee Propolis into a structure that actually helps prevent the formation of plaque. It works not just on the teeth, but beyond the gum line, where many conventional toothpastes can't reach.Forever Bright Toothgel will make your teeth feel smoother and cleaner than they ever have. Plus, it has a refreshing, cool taste that works as a powerful breath freshener. The enzymes in Aloe Vera are not compatible with fluoride, therefore, if you desire to incorporate fluoride in your dental health program, we recommend using a daily fluoride rinse. And with all dental care programs, it's important to brush after every meal and see your dentist regularly.We're convinced Forever Bright toothgel lis the best dental hygiene product on the market – the finest form of preventive dentistry available today.consult kisonga2005@gmail.com for assistance of advice.
 
Una matatizo ya meno au fizi! Kuna dawa nyingi za kutibu hilo tatizo!
Kuna dawa ya kampuni fulan inaitwa dynapharm wana dawa inaitwa dynacare toothpaste na dynacare tea tree oil zina weza kukusaidia hilo tatizo kama utaweza kuzipata!
 
tatizo hilo huitwa scurvy. Mwambie ale matunda kwa wingi, atapona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…