Meno kutoka nje

Meno kutoka nje

Lawkeys

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2009
Posts
1,118
Reaction score
287
Wadau meno yangu yamechomoza kwa nje kiasi kwamba najisikia uncomfortable kusmile. Kuna hospitali au wataalamu au namna nyingine yoyote ninayoweza kutumia kuyeweka meno yangu katika muonekano mzuri
 
Yeah its possible hata Ronaldo de Lima alifanya mambo kiduchu kurekebisha meno. Labda nenda kwa madaktari wa meno wakupatie existing alternatives...!
 
But i think its gonna be a bit expensive...Kila la heri, mambo ya ma'risepsheni haya!
 
visit hopitali ya doctor shabiri ipo katika jongo flani la Blue liloo mtaa wa jamuhuri next na kituo kidogo cha polisi kabla ya duka la masumini watmaliza tatizo lako-uwe na mshiko wa kutosha
 
But i think its gonna be a bit expensive...Kila la heri, mambo ya ma'risepsheni haya!

True mkuu there are several options......the worst one ni kung'oa meno mawili ya mbele na kuweka ya plastiki! Possibilities are infinite!
 
Inategemea upo nchi gani ila ni hatua ndefu kidogo!
 
Wadau meno yangu yamechomoza kwa nje kiasi kwamba najisikia uncomfortable kusmile. Kuna hospitali au wataalamu au namna nyingine yoyote ninayoweza kutumia kuyeweka meno yangu katika muonekano mzuri

Mbali na kujiskia unconfortable ni tatizo gani tena unalipata?
kama hakuna ni bora ubakie hivyo hivyo ndugu.
nahofu mbali na gharama kubwa sana lakini pia usije ukasababisha matatizo mengine.
Kubali hali halisi ndugu yangu.
 
visit hopitali ya doctor shabiri ipo katika jongo flani la Blue liloo mtaa wa jamuhuri next na kituo kidogo cha polisi kabla ya duka la masumini watmaliza tatizo lako-uwe na mshiko wa kutosha

Namba yao ni 2116630 au 2113689 Kama upo Dar
 
Jaribu Muhimbili hospital. Ikishindikana acha kusmile.
 
Mkuu pole, kama umeshaoa bakia hivyox2 tu.
 
Back
Top Bottom