Baba Kapompo
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 1,344
- 468
wale wataalam wa meno me nnashida moja tuu pindi nilvyokuwa na umri wa miaka 10 kwenda chini nilikuwa nasugua meno kwa whitedent nayalikua yang'aa meupeeeee mhh ila sasa hv meno yangu najitahid kusugua zaid ya mara3 kwa siku lakin hayai km nnavyota natumia whitedent miaka yote naomba mniambie meno yangu sio mabaya ila ukiyaangalia kwa karibu sana unaweza ukagundua kwamba yamefubaa kidogoooooo.......nini nfafanye ili yameremete
haya mkuu ...hongera.. mungu kajaria unaharishia mdomoni ... ur kindly welcom mombassaPaka KIWI
Mkuu kwa uelewa wangu ; Tumia ganda la ndizi kwa ndani usugulie meno yako yatang'aa !!wale wataalam wa meno me nnashida moja tuu pindi nilvyokuwa na umri wa miaka 10 kwenda chini nilikuwa nasugua meno kwa whitedent nayalikua yang'aa meupeeeee mhh ila sasa hv meno yangu najitahid kusugua zaid ya mara3 kwa siku lakin hayai km nnavyota natumia whitedent miaka yote naomba mniambie meno yangu sio mabaya ila ukiyaangalia kwa karibu sana unaweza ukagundua kwamba yamefubaa kidogoooooo.......nini nfafanye ili yameremete
wale wataalam wa meno me nnashida moja tuu pindi nilvyokuwa na umri wa miaka 10 kwenda chini nilikuwa nasugua meno kwa whitedent nayalikua yang'aa meupeeeee mhh ila sasa hv meno yangu najitahid kusugua zaid ya mara3 kwa siku lakin hayai km nnavyota natumia whitedent miaka yote naomba mniambie meno yangu sio mabaya ila ukiyaangalia kwa karibu sana unaweza ukagundua kwamba yamefubaa kidogoooooo.......nini nfafanye ili yameremete
addres yao..? au wanapatikana wap mkuuWaone dentists wana-solution kwa tatizo kama lako la - teeth whitening
Mkuu Madaga' FYI, nikuongezee mazuri machache:-THANKX life z sht ..nitafanyia kaz hiyo ..mungu anamakusudio makubwa kuwaleta watu km nyie duniani... thankx alot live long life ...ILI UWE LIFE IS LONG bro
THANKX life z sht ..nitafanyia kaz hiyo ..mungu anamakusudio makubwa kuwaleta watu km nyie duniani... thankx alot live long life ...ILI UWE LIFE IS LONG bro
masanga ndio nini ? toka nizaliwe sijawah vuta sigara ...nielewshe masanga plz alfu xio mzee mimi sio 18 YRS below wala SIO 25yrs aboveMkuu Madagadamdashi!!! Wewe ni mzee wa masanga au Sigara ???kwa wengine vinaondoa mng'aro wa meno..ulipokuwa mdogo yalikuwa meupeee
masanga ndio nini ? toka nizaliwe sijawah vuta sigara ...nielewshe masanga plz alfu xio mzee mimi sio 18 YRS below wala SIO 25yrs above
Mkuu hata Mimi ni Mzee wa masanga na meno yanazinguaga. Ila mkaa haudanganyi, nimeshampa procedure dogo jinsi ya kuuandaa. Mkaa haudanganyi!!Wazee wa masanga ni wazee wa Chupa(wanywaji)haijalishi umri.
Okay let me do it
Thank You Mkuu :- My Take; uchukuwe tahadhari Mikaa mingine huwaga TOXIC hatari kwa mwili wa binAdamu !! kutokana na miti au mizizi kadhaa !! take careMkuu ngoja nikupe dawa, uliona changes ni PM. Saga mkaa,uwe chenda ndogondogo sana, unaweza kuuponda, tafuta mswaki wa mti. Weka mkaa huo kwenye mswaki sugua vizuri na sukutua. Rudia hilo zoezi mara nyingi inavyowezekana
. Meno yako yatakuwa fresh. Jaribu hilo zoezi, ukifanikiwa ni Pm.
dear Shyshyz !! hii je strawberries zapatika sehemu gani Dar? (TZ in general)Salam kk mm nitakupa dawa imenisaidia sana. Chukua strawberry na soda bicarbonate changanya upigie mswaki utaona mabadiliko makubwa.