Meno mtoto wa miaka miliwi

mangulumbwisi

Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
77
Reaction score
22
Habari za leo?
Mwanangu anasumbuliwa na meno yale ya mwisho, amevimba fizi, hataki kula hata chakula
nimsaidiaje mwanagu, ameshindwa hata kupiga mswaki, nimpe dawa gani?? msaada please najisikia vibaya nashindwa hata kufanya kazi.
 
mpe dawa za kutuliza maumivu zenye anti inflamatory, azingatie na usafi wa kinywa hata kwa kusukutu na maji safi ya uvuguvugu yenye chunvi kidogo. Ni self limiting ila tatizo likizidi mwone dentist.
 
ninaweza
Nakushukuru kwa ushauri wako, asante nitafanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…