naomba tujuze zaidi juzi nimemuuliza dadangu akasema ni lazima kufanyiwa hiyo kitu kila baada ya miezi sita ,usipofanya meno yanakuwa na kama vidotidot vyeusi na kufubaa kabisa,kuna ukweli ndugu?????????Hii dental clinic iko hapa Dar es salaam, city center; mtaa wa Asia. Doctor anaitwa Dr. Mohamedali and the clinic's name is SD Dental Clinic.
You can go w/out appointment
hii huduma ipo shabbir dental clinic hapo city center; actually scientifically one has to go 4 dental check up after every six months ... so this bleeching can also be done after six months but not necessarily after six months; once u do the bleeching its permanent ila with time meno becomes yellow or dull in color ( comon for every1) so inorder to inhance the color u can do it every six months......... its nt very expensive!!
hahaha jioni njema.:A S 103:ebana eeeh,mzee naomba ful deteilz da hlo eneo aisee kumbe naweza kuwa modo. Maana daah k2 cha njano kaa yanga damu au nimesukutua uharo. Where eggyzaktly z dat hospital?