Meno yananisumbua naomba msaada

komredi ngosha

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
382
Reaction score
71
wakuu, nishang'oma meno mawili hapo kabla na hvi leo mengine mawili tena yameanza kuuma
naombeni kama kuna mtu anafahamu mwenye dawa ya kutibu meno bila kung'oa anisaidie mawasiliano yake
 
FOREVER BRIGHT TOOTH GEL

Bidhaa ya kusafisha meno iliyotengenezwa kutokana na stabilized Aloe Vera Gel pamoja na bee
propolis hivyo huua bacteria na vijidudu vyote. Inang’arisha meno bila kuchuna tabaka la juu
la meno-ENAMEL. Huzuia meno yasitoe damu, kuponya vidonda vya mdomoni na endapo kuna
maumivu mdomoni unaweza kupaka kwenye meno moja kwa moja bila kupiga mswaki.
Husaidia kusafisha fizi na kuzifanya tishu zake ziwe na afya imara.

FAIDA: Huzuia kutokwa damu, harufu mbaya, kuimarisha fizi, matundu kwenye meno,huponya vidonda vya
mdomoni.
Kwa mawasiliano: 0776491294 au ishealthy@hotmail.com
 
Attachments

mimi nimetoa jino jana,lakin bado nasikia maumivu sehemu ya kidonda walichotoa jino,nifanyaje wakuu ?nashindwa ata kula na kulala
 
siku moja ni mapema sana,inaweza kuchukua hata wiki,na zaidi,aliyekungoa alitumia nguvu nyingi sana,tumia tu dawa ya maumivu, iyo hali itakwisha.
 
siku moja ni mapema sana,inaweza kuchukua hata wiki,na zaidi,aliyekungoa alitumia nguvu nyingi sana,tumia tu dawa ya maumivu, iyo hali itakwisha.

asante kuna dawa nimetumia inaitwa diclopar imenisaidia sana
 
the same to me thanx nimepata mawazo
 
the same to me thanx nimepata mawazo

Nawashauri muende pale BOCHI MEDICAL CENTRE-Mbezi Kwa Msuguri,kuna daktari specialist wa meno.
Nimetibiwa pale toka miezi kadhaa imepita cjackia tena maumivu..
 
Nawashauri muende pale BOCHI MEDICAL CENTRE-Mbezi Kwa Msuguri,kuna daktari specialist wa meno.
Nimetibiwa pale toka miezi kadhaa imepita cjackia tena maumivu..

Matibabu ya namna gani mkuu? Kung'oa, kuziba au kuweka dawa yasiendelee kuoza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…