Meno yanauma na mafizi yanatoa damu ni nini sababu yake na nini matibabu yake?

Meno yanauma na mafizi yanatoa damu ni nini sababu yake na nini matibabu yake?

DarkPower

Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
16
Reaction score
5
Dadangu ana matatizo ya meno pamoja na mafizi yake,swali ni hili hapa;Meno yanauma na mafizi yanatoa damu ni nini sababu yake na nini matibabu yake?
 
Maumivu ya jino {TOOTHACHE}.
Changanya sehemu tano za asali, na sehemu moja ya mdalasini na tumia kwa maumivu ya jino.

Dondoshea kwenye jino au meno yaliyoathirika hadi maumivu yatakapotoweka.

Mafizi kutoa Damu inaonyesha huyo Dada yako ana upungufu wa Vitamini C mwilini Uwe unatumia Vitamin C kila siku hayo matatizo ya Mafizi kutoka Damu yatasimama.
 
mimi nilikuwa na tatizo kama lako,nilipoenda hosp waligundua ya kuwa jino lilikuwa limeota hozizontal,na dawa yake ni kulitoa na huwa linatoa damu kuliko kawaida.nakushauri uende pale mnazi mmoja ua muhimbili kwa matibabu.
 
Back
Top Bottom