nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 526
Habari wana jamvi...
Mwenzenu nina tatizo ambalo nilifanyaga uzembe nikiwa mdogo,jino la juu upande wa kushoto katikati lililegea nikajiakiacha sikulitoa...baada ya muda mchache jino jingine likajitokeza na lile likilolegea likajishika tena so yakawa mawili sehemu moja,ila jingine likatokea upande mwingine..sasa naona nahitaji kulitoa moja ama yote maana yameoza na wakati mwingine yanauma sana....je kwa location yaliyopo kuna athari gani yaweza kutokea?
Asanteni sana ndugu zangu