Yusuph Salehe
Member
- Nov 12, 2010
- 58
- 1
Kwakweli ni muda mrefu tangu meno yangu yaharibike(hayajaoza bali yametengeneza utandu kati ya fizi na meno) na sio siri yananikosesha amani ninapokuwa na watu wangu wa karibu. Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu kama meno haya yanaweza kurudi katika hali yake ya kawaida na kuwa safi kama mengine natanguliza shukrani zangu kwenu.