Meno yangu jamani!

Yusuph Salehe

Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
58
Reaction score
1
Kwakweli ni muda mrefu tangu meno yangu yaharibike(hayajaoza bali yametengeneza utandu kati ya fizi na meno) na sio siri yananikosesha amani ninapokuwa na watu wangu wa karibu. Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu kama meno haya yanaweza kurudi katika hali yake ya kawaida na kuwa safi kama mengine natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
inabidi uwe unaswaki asubuhi na jioni kabla ya kwenda kulala... na uwe unatumia miswaki imara.... na sio unaswaki nusu dakika swaki kama dk 5 na hakikisha umegusa kila pembe ya mdomo.... tumia dawa za fluoride........... kwa nahisi hayo ni matokeo ya kuswaki maramoja kwa siku tena rasha rasha au miswaki isiyo imara... kama vile wa mti
 
google asali + mdalasini

google tiba ya meno.

bye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…