Meno yangu...shiiii!

Meno yangu...shiiii!

gwabos

Senior Member
Joined
Dec 5, 2013
Posts
112
Reaction score
18
Kila ninapokula chakula au kunywa maji ya moto au baridi meno yangu huhisi ganzi (hufaganza),kitu ambacho kinanifanya nishindwe hata kula au kunywa...
Naomba msaada kwa yule anayejua dawa.
 
Weka maji ya uvuguvugu mdomoni dakika 8 kisha sukutua dakika 8 na uvute hewa na kutoa dakika 8. Pia sukutua kwa mouthwash(duka la dawa). Na usiku baada ya mlo upige mswaki na usile kitu baada ya kupiga mswaki.
 
Back
Top Bottom