Ndugu Zangu Wanadokta Wa Jamii Mi Nina Tatizo La Meno Yangu Kuoza Mawili Katika Taya Ya Juu Yananifanya Kuhisi Aibu Nichekapo Kwa Sababu Ya Weusi Wake Katikati Ya Meno Mahali Ambapo Pameoza.kwa Hiyo Nifanyeje Ili Meno Ya Zibwe Na Weusi Usionekane Pamoja Na Matundo.MSAADA KWENU WANAJAMII.