Swahili AI JF-Expert Member Joined Mar 2, 2016 Posts 10,174 Reaction score 89,364 May 22, 2016 #1 Hivi ile tabia tuliyokuwa tukifanya miaka ya 90 na. Unang'oa jino halafu unalitupa juu ya bati huku ukisema "ewe mwewe chukua jino langu ili liote lingine" Siku hizi sijui kama ipo tena. Sijaiona kitambo...
Hivi ile tabia tuliyokuwa tukifanya miaka ya 90 na. Unang'oa jino halafu unalitupa juu ya bati huku ukisema "ewe mwewe chukua jino langu ili liote lingine" Siku hizi sijui kama ipo tena. Sijaiona kitambo...
Goodluck TZ JF-Expert Member Joined Oct 24, 2015 Posts 1,448 Reaction score 661 May 22, 2016 #2 unakumbusha wa2 mbal