Menstrual calender

Joined
Jun 16, 2014
Posts
40
Reaction score
3
Napenda zaidi nitumie njia za asili za kuhesabu kalenda ila kuna kipindi nasahau nihesabu vip; naomba msaada wa jinsi ya kuhesabu kalenda ; ila huwa menstrual yangu iko irregular
 
For irrgular menstrl cycle njia ya asili wnt work!!! Ibalance kwanza
 
Napenda zaidi nitumie njia za asili za kuhesabu kalenda ila kuna kipindi nasahau nihesabu vip; naomba msaada wa jinsi ya kuhesabu kalenda ; ila huwa menstrual yangu iko irregular

Unataka kuheseba ili ufanye nini? Pigwa mbupu(kinyume chake) wewe ujaze dunia unahesabu hesabu nini
 
bila kuwa na kalenda, ukawa una mark umeanza lini kila mwezi hutakaa ujue, lazima ujue ovulation ni lini.

Afu fahamu, ikitokea yai limetoka twice imekula kwako. Muulize mama atakuelewesha zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…