Menstrual cycle na birthdate

jumamchana

Member
Joined
Jan 17, 2016
Posts
25
Reaction score
13
Nimejaribu kuwaza hapa,, hivi kwa mwanamke anaepata bleed kwa mara ya kwanza,, hiyo bleed inatokea tarehe sawa na tarehe yake ya kuzaliwa. Maana nimejaribu kuwauluza magirlfriend wangu sita maex na niliyenae lakin wakinipa tarehe ya mzunguko wake wa hedhi halafu nikalinganisha na birthdate yake zinapishana mno. Nikajiuliza labda kutokana na ujana wametumia madawa ya uzazi ndo au vip.
Labda wenzangu huko mnaielewaje hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nani amekuambia tar ya kuingi period ni ile ile kila mwezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…