National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
πππ Kama ni mfanya biashara na una kazi plus kibunda mnaweza ongea lugha mojaHata mimi namkubali sana huyu Darlin, sema naona ananizeesha tu kila siku[emoji1787][emoji1787]
Huyu mtu wako wa nguvu waweza......[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Mbona gafla hivo jamanπππAlafu nime kumiss kweli dada yangu ππ
We ukweli sana mwana wangu ππMbona gafla hivo jamanπππ
ππππbabuuuuu mbona ghafla hivoHata mimi namkubali sana huyu Darlin, sema naona ananizeesha tu kila siku[emoji1787][emoji1787]
Huyu mtu wako wa nguvu waweza......[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Babuu ana hela za pension ngoja niende tukaongee lugha mojaπππ Kama ni mfanya biashara na una kazi plus kibunda mnaweza ongea lugha moja
Haya mdada wangu nakuaminia, hatutakiwi kufa maskini πππBabuu ana hela za pension ngoja niende tukaongee lugha moja
Mmmhh tangu lini mbona mie sijuiWe ukweli sana mwana wangu ππ
ππππππaiseeeeeHaya mdada wangu nakuaminia, hatutakiwi kufa maskini πππ
Ndio ujue kuanzia leo, hapa nimetoka church nime ku miss ππMmmhh tangu lini mbona mie sijui
Wewe na church wapi na wap jamanNdio ujue kuanzia leo, hapa nimetoka church nime ku miss ππ
Hapa nimetoka kanisani, ndio napita m.city kupata hata kahawa ππWewe na church wapi na wap jaman
Na pisi za m.city unamuachia nani
Sasa mbona huniiti jamanππ€Hapa nimetoka kanisani, ndio napita m.city kupata hata kahawa ππ
Ulisema juzi. Unakuja, alafu sijakuona popoteSasa mbona huniiti jamanππ€
We ndio unazingua tatizoUlisema juzi. Unakuja, alafu sijakuona popote
Sio kweli dada wangu, πππWe ndio unazingua tatizo
Haya kiongosssssSio kweli dada wangu, πππ
Poa chief! Kesho uje basi ππHaya kiongosssss
Haina shida kamandaPoa chief! Kesho uje basi ππ
Nipo nabet tu hapa, nimuwezee wapi huyu mlimbende..nawaachia nyie vijana wenye wallet nono na nguvu za kutosha, aliniambia anataka kidume mwenye nguvu zake.[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16] Kama ni mfanya biashara na una kazi plus kibunda mnaweza ongea lugha moja