raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Kama kawaida toto zuri kimyaaaa sanaaaaFresh kiongos vp wew
Nipo nipo nipe madili bas๐Kama kawaida toto zuri kimyaaaa sanaaaa
Dili la upande ganiNipo nipo nipe madili bas๐
Nimekupa dili la kukuoa hutakiNipo nipo nipe madili bas๐
Una masharti magumu me sijawezi ndio tatizoNimekupa dili la kukuoa hutaki
Magumu yapi hayoUna masharti magumu me sijawezi ndio tatizo
Si yale ya siku ileMagumu yapi hayo
Aaaaaah ๐ embu fanya tena kama siku ile basSi yale ya siku ile
Me kushindwa
๐๐๐๐Aaaaaah ๐ embu fanya tena kama siku ile bas
Unanicheka sio๐๐๐๐
Ndio nakuchekaUnanicheka sio
Yaani ndio umekimbia kabs hata kujibu msg ๐Ndio nakucheka
Si tulikubaliana vizuri lakin we vuta subira๐
Sasa kama unazingua je๐๐na ukizidi ntaeka kufuli kuleYaani ndio umekimbia kabs hata kujibu msg ๐
Mbona haujasema sasa dili la aina gani unatakaSasa kama unazingua je๐๐na ukizidi ntaeka kufuli kule
Kuna madili gani mjini zaidi ya pesa jamanMbona haujasema sasa dili la aina gani unataka
Naweza kukwambia uje tukate mkaa huku porini kumbe sio fani yakoKuna madili gani mjini zaidi ya pesa jaman
we njoo tuliongelee hilo dili kama ni la hela lazma litakua ni hobby yanguNaweza kukwambia uje tukate mkaa huku porini kumbe sio fani yako
Bas kuwa na subra niseti mitambo ๐we njoo tuliongelee hilo dili kama ni la hela lazma litakua ni hobby yangu
Nakuaminia ila usichukue muda mrefu tafadhaliBas kuwa na subra niseti mitambo ๐
Uwe available tuNakuaminia ila usichukue muda mrefu tafadhali