Kwani umekunywa nini asbh hii jirani
Nimekunya supu ya Lavante...Kwani umekunywa nini asbh hii jirani
Muongo,, uporo huo ulokula after gymNimekunya supu ya Lavante...
Umeshindwa kukata utepe...Niacheni nna stress 🤣🤣🤣 Nimenunua sabuni kufua.. ndoo ya sabuni imekataa kufunguka.
Hapa Nimekaa natizamana nayo
Usirudie tena kunywa hiyo kitu jiraniNimekunya supu ya Lavante...
Acha umbea wewe mtoto mdogo...Muongo,, uporo huo ulokula after gym
😂 😂😂 hata nikikupeleka kwa S2kizz atatufukuza
Jirani ni tamu na inakupa uwezo wa kugombana bila kushindwa...Usirudie tena kunywa hiyo kitu jirani
Hauna majirani au uko ushuani kila mtu ndani ya geti lake😂Niacheni nna stress 🤣🤣🤣 Nimenunua sabuni kufua.. ndoo ya sabuni imekataa kufunguka.
Hapa Nimekaa natizamana nayo
Nishakata utepe,, ila mfuniko sasa hautokiUmeshindwa kukata utepe...
Mtoto laini sana wewe... Tumia akili na siyo nguvu...
Hehehe shida yake sii pesa...😂 😂😂 hata nikikupeleka kwa S2kizz atatufukuza
Itakufanya uwe mgomvi jirani sio nzuri, usije kudundwa ukaumiaJirani ni tamu na ikaupa uwezo wa kugombana bila kushindwa...
Mfyuu 🤣🤣🤣Jirani ni tamu na ikaupa uwezo wa kugombana bila kushindwa...
Tumia akili, kama zile akili unazotumiaga usinase mimba...Nishakata utepe,, ila mfuniko sasa hautoki
Watu tu wa humu ndani kwetu siwasikii hata kama wapo..Hauna majirani au uko ushuani kila mtu ndani ya geti lake😂
Nielekeze basi,, mimba tayari ninayoTumia akili, kama vile akili unazotumiaga usinase mimba...
Hata sijui naongea nini..
HahahaaaTumia akili, kama vile akili unazotumiaga usinase mimba...
Hata sijui naongea nini..