π€£π€£Nakuweka kwa maombi ππ maana unasikitisha sana
Nina stress niache[emoji23][emoji23]
Af nenda kamalizie dozi kwanza ndio uingie online.
πππππ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈ[emoji38][emoji38][emoji38]
Asante kwa kumkumbusha maana nlikua nataka nimwambie
Nina plans na baba zao [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani huyo anapenda mitandao kuliko dozi[emoji38][emoji38][emoji38]
Asante kwa kumkumbusha maana nlikua nataka nimwambie
[emoji38][emoji38][emoji38]
Sasa kama watoto wanakula hawashibi baba zao si ndio watakua wamekauka kauuu[emoji119]
ππ Tulia hapoUnanitafuta?? hunipati ng'oπ
Nitumie nauli basiππ Tulia hapo
Nenda kwa wakala nitoe πππNitumie nauli basi
Nimecheka
Umeongeza sikuNimecheka