Mention someone without any reason just to disturb them

Heheee wapiii
Mie vitambaa tandikaa
Ila tu na kua na fundi mzuriii[emoji28]
Nacheki styl mitandaoni basiii

Ila wewe toto zuri lzm uvae brand huwezi kumilikiwa na mjinga mjinga[emoji1666]

Brand wapi!! Mi nishazoea sagula za tandika na Karume mwenzio [emoji1787]

Tunaita bidii kuinama [emoji23][emoji23]
 
Yaan leo mejua sinaga mtu namjua in personal nimekosa jina la kutania
 
Hii naenda kuchekea chumbani kabisa watu wasinione [emoji23]
Imepikwa kibishi mno, mizunguko ilikua mingi[emoji23]
Mambo ya kitchen magumu sana, alafu hata wanawake nao kuna ambao hamna kitu hiyo angle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…