haya msalimie cute wife muambie bado namtakaNimeitika kwasababu umeniita jina langu Lamomy sio kwaajiri ya cheupe [emoji23][emoji23][emoji23]
haya msalimie cute wife muambie bado namtaka
Hili umesema uongo bana, sijawahi kukuita shoga. Wewe nakuitaga mmbeasoon anakuja jamaa yako hapa kuniita shoga
mna bifu na mimi?
kuna ukweli hapa, hata mimi nimegunduaWewe nakuitaga mmbea
Huwa suala lolote cute nalichukulia serious sana, fanya yote Ila hapo uwe unapunguza ujingahaya msalimie cute wife muambie bado namtaka
Sawa acha hizi tabia au punguza kabisa, wenzio walianza hivi wakaangukia huko kwenye rainbowkuna ukweli hapa, hata mimi nimegundua
kwanini umempa mubaba wakati mimi nipo...[emoji3] Yeah! I’m doing well mi amor [emoji7]
fifi wewe ni mkenyaWhy hukuja kwa boma yangu kuniletea juice?
kwanini umempa mubaba wakati mimi nipo...
fifi wewe ni mkenya
sawa fifi ukichoka kuhangaika unitafute nikuoeKwan wewe watakaje? Si mulisemanga Nyerere ataki ukabila saa nini kuniuliza maswali mobu?
sawa fifi ukichoka kuhangaika unitafute nikuoe
😂😂😂 na usimkubali huyo hana pesa bora uchukue wababa wakoMazee mubaba yuko na mapene shazi…..nyie watz muko na mukono mfupi [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] na usimkubali huyo hana pesa bora uchukue wababa wako