Najua mnataniana
Wala usijali
Na mimi nawatania tu.
Haya dada
Twende na kwenye makoba tuoia kapicha
Tunaokaa store sijui tutaficha wapi sura zetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usifute
Watu wa itel bado hatujamliza kuiangalia
Hahaa nimekumbukaNajua mnataniana
Wala usijali
Na mimi nawatania tu.
Haya dada
Twende na kwenye makoba tuoia kapicha
Tunaokaa store sijui tutaficha wapi sura zetu🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23] asiyekuwepo na lake halipo mahi
Shunie🔥🔥🔥🔥🔥[emoji1787][emoji1787] hamna ni 14 promax me napenda kubwa kubwa sijui kwa sababu ni mshangazi picha ya mwanzo ilijikata
Udugu wa mtu anapitwa hapa😂😂😂😂 asiyekuwepo na lake halipo mahi
Hahaa nimekumbuka
Shunie ana dhambi
Eti hereni za makopo 🤣🤣🤣🤣
Sjui hapajui ule mtaa wa wahindi una jina gumuu😂😂😂😂
Hahaa nimekumbuka
Shunie ana dhambi
Eti hereni za makopo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sjui hapajui ule mtaa wa wahindi una jina gumuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wale wa mafuta ya bukubuku parachute tunapita Kwa mbaali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Shunie[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Una undugu na Simara ?
Mambo yake haya
Hapa bado hajatupia zile grams 10
Maskini wavaa makapu tunakwenda kujinyonga kabisa
Tumemiss zile picha mwayaAaah wapiiii Anne [emoji1787][emoji1787] ushaanza mambo zako za kujazana
Tumemiss zile picha mwayaAaah wapiiii Anne [emoji1787][emoji1787] ushaanza mambo zako za kujazana
Tumemiss zile picha mwaya
Zile za kabati la mikoba [emoji91][emoji91][emoji91]
Kwanza uje selfika uselfike[emoji91]
Ndogo ndo nzuri bana. Nyepesi hadi rahaBasi mimi pro siwezi naona vidogo mnooo
Wenye babycare tunapita Kwa mbaaaliMbona parachute natumia Anne [emoji1787][emoji1787] tena chupa kubwa ninalo
Usifute mwayaAkhuuuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] me na hizo mambo tofauti nikijisikia kama hivi nitaweka na kufuta
Ila Anne [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndogo ndo nzuri bana. Nyepesi hadi raha
Wenye babycare tunapita Kwa mbaaali