Eeeh usumbufu usiokera😁Hahahahaha kumbe unapenda usumbufu eeh ?
🤣🤣🤣Unacheka Nini wewe popo?Naenda kuchekea mbele ya safari mimi
Popo Unavyojisikia raha 🤣🤣 kusumbuliwa na huyu mjeideer Tresor Mandala🤣🤣🤣Unacheka Nini wewe popo?
HahahahahaPopo Unavyojisikia raha 🤣🤣 kusumbuliwa na huyu mjeideer Tresor Mandala
Hahahahaha..safi kabisaEeeh usumbufu usiokera😁
Ukicheka na mm nasikia raha🤣🤣🤣Unacheka Nini wewe popo?
Niko poa kabisa swahiba, last week ilikua mafua na homa.ila week hii niko poa kbs SwahibaAhsante Swahiba..
Uko aje?
Acha kabisaa,akinisumbua huyo moyo kwatuuuu😁Popo Unavyojisikia raha 🤣🤣 kusumbuliwa na huyu mjeideer Tresor Mandala
Hahahahaha kama ni hivyo basi imekaa vzrAcha kabisaa,akinisumbua huyo moyo kwatuuuu😁
Ukiumwa uwe unatoa taarifa mapema,unaweza pokea kipercel Cha get well soon 😅😅Niko poa kabisa swahiba, last week ilikua mafua na homa.ila week hii niko poa kbs Swahiba
Hahahahaha..ahsante ,kiparcel toka kwako sio..waoh kitakua kiko full packageUkiumwa uwe unatoa taarifa mapema,unaweza pokea kipercel Cha get well soon 😅😅
Eeeh Kwa nani Tena?siku nyingine ukisikia hata kakichwa kanagonga toa taarifa mapema sana😌Hahahahaha..ahsante ,kiparcel toka kwako sio..waoh kitakua kiko full package
Hahahahaha..nitatoa taarifa haraka sanq, mie nani nikupinge weweEeeh Kwa nani Tena?siku nyingine ukisikia hata kakichwa kanagonga toa taarifa mapema sana😌
Staff officers mnakula maisha sana aaai 🤣🤣Hahahahaha..ahsante ,kiparcel toka kwako sio..waoh kitakua kiko full package
Nitashukuru sana😁Hahahahaha..nitatoa taarifa haraka sanq, mie nani nikupinge wewe
Hahahahaha, pamojaNitashukuru sana😁
Pole Swahiba..Na hongera kwa kupona sasa...Niko poa kabisa swahiba, last week ilikua mafua na homa.ila week hii niko poa kbs Swahiba
Unapotea kama mchawi.