Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
AmoebaShida ilikua nini
Hahahahaha, akija utaniita mie ngoja niendelee na mambo mengine🤸Namsubiri atakuja
Sasa ulivyokua unalia ety nakufa nakufa😂Amoeba
Salamaleko 🤚🤚
😭😭😭😭😅😁😁🤣 Ilikuwa balaa ileeSasa ulivyokua unalia ety nakufa nakufa😂
Wa-Alaikum-SalaamSalamaleko 🤚🤚
🤣🤣🤣🤣Sijui kwann Ila nahisi mapenzi yataazidi Kwa Yule pua kubwaNitamfata atakapoenda
Mtoto wako nitakua nashinda nae nyumbani, guede nashinda nae kwenye tv
🤸😂🤣🤣🤣🤣Sijui kwann Ila nahisi mapenzi yataazidi Kwa Yule pua kubwa
Naam Swahiba
Kama kawa, kama dawa
Mukubwa ulifanya Kosa Gani ?Kama kawa, kama dawa
Nilitaja jina la mtuMukubwa ulifanya Kosa Gani ?
Duh pole sana bwashee wanguNilitaja jina la mtu