Mention someone without any reason just to disturb them

Nyumba zimebanana
Chumba kimoja baba mama na watoto
Pakikucha kila mtu anaenda kwenye mishe zake hadi watoto
Kukutana ni muda wa kulala
Usiku kama mchana
Ushawahi kuona chipsi zinakaangwa saa 10 alfajiri? Njoo kwetu mbagala
Hahahahaha...huko pananifaa nikajifunze life ..huko nyumba bei gani kwa mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…