Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
kweli nimeamini wadada wanapendaga wehu 😛 😛 😛GENTAMYCINE niko na salamu zako… Nifungulie Pm if possible
No bhana, ni brother wangu huyu niko na salamu zake😂😂😂kweli nimeamini wadada wanapendaga wehu 😛 😛 😛
Umefanya haraka nilikua nikusumbue best
Nina swali!Umefanya haraka nilikua nikusumbue best
Hahahahaha...swali la nini na swali gani tena..?Nina swali!
Ulijoin humu 2010 wengine naona 2006Hahahahaha...swali la nini na swali gani tena..?
Mie first nilijoin 2007 , nikapoteza nywila nikarudi hiyo 2010..mwanzo wengi tulikua tunachat kutokea maofisini..after that ni mabadiliko ya techUlijoin humu 2010 wengine naona 2006
Kwani smartphone zilikua tayari zishafika Tz?
Mlikua mnatumia computer! Hapo sawaMie first nilijoin 2007 , nikapoteza nywila nikarudi hiyo 2010..mwanzo wengi tulikua tunachat kutokea maofisini..after that ni mabadiliko ya tech
Nimecheka sana Rafiki haya bhana ngoja nikufuate huko PM Boss wangu Leejay49GENTAMYCINE niko na salamu zako… Nifungulie Pm if possible
Si computer tu kulikua na simu pia kwa wenye uwezo..miaka ya 2009-2010 , kulikua na HTC ,Black Bery smartphoneMlikua mnatumia computer! Hapo sawa
Smartphones tz zimefika mwaka gani
Huwa najiuliza tu mwenyewe siku zote, hawa joined 2013 kurudi nyuma walikua wanatumia nini Kuingia jfSi computer tu kulikua na simu pia kwa wenye uwezo..miaka ya 2009-2010 , kulikua na HTC ,Black Bery smartphone
Nyie watoto wa 2000 ndio mnaona shida
Amkia..!
Kulikuwa na Nokia Zina internetHuwa najiuliza tu mwenyewe siku zote, hawa joined 2013 kurudi nyuma walikua wanatumia nini Kuingia jf
Mara ya kwanza kuona smartphone ni 2014 dada angu alikuja nayo home
Kejaa enkakenya innoAmkia..!
HongereniKulikuwa na Nokia Zina internet
Hongera Mimi 2017 nilikuwa na kitochiHongereni
Mimi simu ya kwanza nilimiliki 2017
Basi wewe kumbe ni mtoto wa elfu 2Hongera Mimi 2017 nilikuwa na kitochi
Mimi wa 90 nipo huku Toka 2011Basi wewe kumbe ni mtoto wa elfu 2