Mkwe vaa miwani angalia pm hapo๐คธHivi uongo utaacha lini??
Mkuu kama natakaNina tiketi 5 , na jezi original 4 za jmosi kwenda uwanjani mwenye kuhitaji aniambie ...
Unatuma boda hairuhusiwi kufuata mwenyeweMkuu kama nataka
Namtuma boda au nafata mwenyewe?
Pm umefunga๐คธUnatuma boda hairuhusiwi kufuata mwenyewe
Hahahahaha funguo ilipoteaga ,sijachongesha nyinginePm umefunga๐คธ
Mkuu kumbe umeleta tangazo ili tupige story!Hahahahaha funguo ilipoteaga ,sijachongesha nyingine
Hahaha ,We sema km unataka mie najua utapataje..itaachwa sehemu then huyo boda ataifuata hapo..๐คฃ๐คฃMkuu kumbe umeleta tangazo ili tupige story!
Nataka ndio!Hahaha ,We sema km unataka mie najua utapataje..itaachwa sehemu then huyo boda ataifuata hapo..๐คฃ๐คฃ
Unatakaje mkweSitaki,
Mkwe mwongo mwongo
Fanya ahadi once mkweUnatakaje mkwe
Wazee hawanunagi
Nijibu kwanza pmFanya ahadi once mkwe
Wahi mwenyewe huko piemu mwendo wamatekaNijibu kwanza pm
Tusimwage mchele kwenye kuku wengi
Nijibu hizo msg nilizokutumiaWahi mwenyewe huko piemu mwendo wamateka
Ninahitaji Swahiba....Nina tiketi 5 , na jezi original 4 za jmosi kwenda uwanjani mwenye kuhitaji aniambie ...
DahNijibu hizo msg nilizokutumia
Unanienjoy!๐
Nijibu hizo msg nilizokutumia
Unanienjoy!๐
We msg zitoke wapi? Pm ndio wapi?? Mbona jf mnasiri saanaNijibu hizo msg nilizokutumia
Unanienjoy!๐
Mkwe vaa miwani msg nimetuma tokea juziM
We msg zitoke wapi? Pm ndio wapi?? Mbona jf mnasiri saana
Hahahahaha...inabidi useme niiache wapi ?Ninahitaji Swahiba....
Niikute wapi?๐