Mention someone without any reason just to disturb them

Kwa hiyo Leo morning glory kulikuwa hamna??
🤣🤣🤣🤣Hamna kitu inaniboa kama hiyo,unajua mi ni wale wa kulala saa saba na nusu ila usubuhi Siwezi kudamka,Sasa nikiamshwa asubuhi Kwa ajili ya mambo ya kushetani Huwa nakasirika sana,naweza fanya bila hata kufumbua macho😅
 
🤣🤣🤣🤣

Unamsusia

Ndugu yangu ERoni hivi MTU anawezaje kupeana bila kufumbua macho??

Wanaume tunadhurumiwa saana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…