Hiyo ni name calling. Utapigwa ban ya kijinga kabisaUnasemaje lissu .. hii ni Aidii yako nyingine .. gademit ...
Ni naniii huyo mkuuu ๐Kuna mwamba humu alileta uzi eti anakufa kesho kutwa , baada ya kesho kutwa mod wakamgundua analike like nyuzi za makutupora , wakaamua kuu ganisha nyuzi ya kifo na ile mpya aliotengeneza ili waanike ujinga wake
Ila JF๐๐๐๐๐
Soma kichwa Cha Uzi...Hiyo ni name calling. Utapigwa ban ya kijinga kabisa
Okay nimeona Ile ya janaaa ya majivuuuKwani jamii forum umeingia Lin last time? Hpn sio leo
Wewe katumie tuu mkuu Mimi Sina baya min -meNdugu yangu Light saber naomba share kwenye haka kamsemo kako la gademit niwe nakalipia ngap mkuu?
Nishasahau mkuu๐๐๐คฎNi naniii huyo mkuuu ๐
Okay hapo sawaOkay nimeona Ile ya janaaa ya majivuuu
Nasikia singida ni kavu hadi mnakimbiliaga mikojo ya punda akiwa anakojoa ili mtulize ukame ๐๐
Siyo poa kaka , Kama sasa hivi hakuna mvua , Zimesimama sijui ndo maji yameisha huko juu mbinguni .. ila tuna surviveNasikia singida ni kavu hadi mnakimbiliaga mikojo ya punda akiwa anakojoa ili mtulize ukame ๐๐
Nishasahau mkuu๐๐๐คฎ
Pamoja mkuu.๐ช๐ฟSawa ngoja Mimi ninywe maji mfungo unanivuruga ๐