Ungetuma kampesa ungeona ninavyojitokeza fasta.Jael ulikuwa wapi muda wote nakutafuta!!?
Vizuri kabisa wala sina swali tena
Hahah duh...
Uwe unajiongeza mdogo wangu, usisubiri hadi nikwambie jamani.Hahah duh...
Siku nyingine tena kabla sijaambiwa dada ake
Waaaaah!!!! So happyOoh! cheers kwako pia mtakatifu Dominic
Sawa ila si unajua utu uzima unakuja kwa kasi kuna muda inabidi tuambiwe tu
Sawa, nitakukumbusha.Sawa ila si unajua utu uzima unakuja kwa kasi kuna muda inabidi tuambiwe tu
Dada ako@Makiseo umemuacha wapi
Hahah mwambie asichukulie maisha serious hivyo..
Thanks too friendThanks mwamba😘
Wewe si umeshindikana.Hahah mwambie asichukulie maisha serious hivyo..
Mbona mie nipo hapa
Duh....umeanza kunisingizia