Niko najaribu hapa πJigonge alafu uone uchungu utausikia wapi... Kwenye ubongo mpaka moyo...
Kamanda asie choka π π π
Umeusikia utamu mpka wapi...Niko najaribu hapa π
Salimia jombaaa zanguu hata kama hawanijui π
πππ acha nitulie mama kijacho wangu kanipiga stop
Uchogoni π€£π€£Umeusikia utamu mpka wapi...
Sasa ukikikata unakua huna akili na unakua mtu wa kukurupuka...
Njoo kwangu, achana na Vocation...Uchogoni π€£π€£
Dah! Basi sikati.. ngoja tu niende vacay πΏπΌ
π«£Njoo kwangu, achana na Vocation...
Zimefika rafiki. Japo unanichanganya ujue. πSalimia jombaaa zanguu hata kama hawanijui π
Hahaha! Ndio ndio!! π Huu ndo wakati wake atii yaani saa hii full tabasamu + furaha. ππ
Niko good kabisa na zaidi kidogo π.Hahaha! Ndio ndio!! π Huu ndo wakati wake atii yaani saa hii full tabasamu + furaha. ππ
I hope uko good pia. π