Mention someone without any reason just to disturb them

Hayakutoshi kama hayo... Makofi Yale ya nanii ndiyo yanakufaa...

Alafu unanichekea nini...
😎😎😎 twende selfika ukaselfike 🀣🀣 afu nitakwambia nacheka nini
 
Kuna uzii hukoo chitchat unaitwa selfika πŸ€—

Nakuchekea mdomo
Okay!! Nitautembelea nitakapojisikia kufanya hivyo...

Nichekee ila usinitolee ulimi Wala kunionesha dimples...
 
Uko tayar baada ya outing nije nikufungulie thread huku jinsi ulivyo mrohoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†kama uko tayar jiandae.
πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’ Basi out hiyo ya masimango hapana.. Acha nicheze na madogo tu hapa, ila mnatunyanyasa sana nyie warwmbo wa humu dah.. Mwaka tutamaliza mapambano 3-0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…