Unaniambia mm nikojoe dagaa ? ππππNilipeleke wapi na hapa ndio limefikaππ
Kama linakukera ka..... dagaa
Nimekublock wapi π€£Sponsor umeniblock nilikua apeche alolo.. Nimeshinda nimelala
ππππUnaniambia mm nikojoe dagaa ? ππππ
Nitakubamizaa
Mbona hamueleweki? Niongezeke unene au kimo? Maana mnasema mekondeana baada ya kuachwa. Sahivi mfupi futi 4.Nimekublock wapi π€£
Sikuona hata kasms jamani..
Umeshinda umelala safi hiyoo, utakuwa umeongezeka kimo π
Anaumwa chupu chupu nimkose...Kumbe unaumwa na hujaniambia
Poleee jamani didi
π€£π€£πAnaumwa chupu chupu nimkose...
π€£π€£π€£π€ afu huyo alokuacha tutakuja mchapaβ¦Mbona hamueleweki? Niongezeke unene au kimo? Maana mnasema mekondeana baada ya kuachwa. Sahivi mfupi futi 4.
ππ usisogezee hata ukuchaππππ
Njoo nipo hapa nimekaa nakusubiri
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππItoshe kusemaβKila Penzi litaonja Umautiβ..![emoji17]
Ndio nakukabaga ukilala bila kusaliβ¦Unaenikabaga ni wewe hapo Kila siku, naamka nimechoka...
Alafu mimi hata siyo mwema.. Nina roho mbaya sana...
Kingine kama kitanda chako ni tano Kwa nne wewe ni unajiegesha tu...Ndio nakukabaga ukilala bila kusaliβ¦
Roho mbaya huna, ni unajifanyaga uko mjeuri tu lkn hamna kituπ
Una mkabo wa faida... ππNdio nakukabaga ukilala bila kusaliβ¦
Roho mbaya huna, ni unajifanyaga uko mjeuri tu lkn hamna kituπ
Unadhambi sana... Unajua mwenyewe...
ππππ kaushaaUnadhambi sana... Unajua mwenyewe...