Menu mbili kwa moja

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Tahadhari: KWA WANAUME TUU

Ukipata muda nawe jaribu kuchunguza
Yaani mdada pisi kali anaitwa mahali kustarehe, akale, akanywe afurahi... Kishapo!?[emoji848][emoji23]

Vuta ile picha anapoletewa ile menu achague chakula na jinsi jamaa anavyomcheki kiaina... Anachagua cha kula kwenye menu. .. Lakini kumbe naye ni menu iliyokwisha chaguliwa! Menu mbili kwa wakati mmoja

Pata ile picha ya wazee wa pwani kajiegesha kwenye mkeka na mzula tuu huku anampigisha story bimkubwa anayeandaa chakula cha jioni... Yaani unaona kabisa lizee linaangalia menu zake mbili!

Zamani kidogo nikaenda huko Pwani kikazi .. Nikapokelewa na mwenyeji mwenye ukarimu sana na siku mbili tu baadae nikahamishwa toka nyumba ya wageni mpaka makazi yaliyojaa ukarimu hasa.

Jioni moja nikiwa nimetoka kazini nikatengewa maji ya kuoga yenye vionjo vyote vya ukarimu uliotukuka na makhaba! Kisha nikaulizwa utakula kwanza ndio ule!? Au ule kwanza halafu utakula baadae!?[emoji3064][emoji23]

Bythen sikujua tofauti mpaka nilipokuwa mkubwa wa akili.. Kwamba kuna menu mbili kwa moja..Menu ya kwanza 'unakula kwanza'! Halafu ya pili unakula baadae![emoji848][emoji2960][emoji2]

Kumbe mpishi naye ni menu anayeandaa menu.. Kishapo ni uchaguzi wa mlaji..! Ale kwanza kisha atakula baadae au kinyume chake!!!

Menu hizi!,[emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji196]
 
Hahaha, yaani mtu anapiga makange ya kuku na chips, wewe badala ya kumezea mate ule msosi unammezea mate amalize kula ili umtafune. Noma sana hii...
 
Hahaha, yaani mtu anapiga makange ya kuku na chips, wewe badala ya kumezea mate ule msosi unammezea mate amalize kula ili umtafune. Noma sana hii...
[emoji2][emoji2][emoji2]kama alivyokuwa anamtafuna kuku
 
Hivi kumbe kwenye hizo dates tunavokula na nyie mnatuimagine kama menu pia dah? Ndiyo maana mnakuwa kama mmerukwa akili kwa excitement kumbe mnakua mnafikiria mbaliii[emoji3][emoji119]
[emoji2839][emoji2839][emoji2839][emoji1550][emoji1550][emoji1550] Tahadhari: KWA WANAUME TUU...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…