darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
Unyama sana huu full burdan, ila muanze leta na za C250, C300 n.k hizi za 200 zimekuwa kama sale 😅Bei/Price🏷️👉🏾TSH 60.8M
Call📞+255 747 999 927
MERCEDES BENZ AMG C-CLASS
Year: 2016
Engine: 1,990Cc
Mileage: 58,000+
Transmission: AUTO
✨Paddle Shifters
✨Electric Tailgate
✨Heated & Massage Seats
✅100% Duty Paid
✅Free Registration
✅Swap Deals Available
Hizo Pia TunazoUnyama sana huu full burdan, ila muanze leta na za C250, C300 n.k hizi za 200 zimekuwa kama sale 😅
SafiHizo Pia Tunazo
C class ni entry level kwa luxury za benz na E class nahisi ni medium na baba yao ni S class kwenye mambo yoteMimi Benz naanzia E Class.
G atakua babu.C class ni entry level kwa luxury za benz na E class nahisi ni medium na baba yao ni S class kwenye mambo yote
Yeah. S Class ni kubwa sana ni kama X7 kwenye BMW. Hiyo inafaa kwa watu wenye familia kubwa.C class ni entry level kwa luxury za benz na E class nahisi ni medium na baba yao ni S class kwenye mambo yote
G ni SUV ila kwa sedan naona top ni S class ile S680 maybachG atakua babu.
S Class plain vs C Class AMG? Utaenda ipi?G ni SUV ila kwa sedan naona top ni S class ile S680 maybach
GLE 450 4Matic ni nzuri sana na hiyo BMW X5 M. Hapo umemalizaYeah. S Class ni kubwa sana ni kama X7 kwenye BMW. Hiyo inafaa kwa watu wenye familia kubwa.
Kwenye Benz naenda na GLE 450 4Matic, BMW naenda na X5.
Naenda kwenye AMG C63S Class plain vs C Class AMG? Utaenda ipi?
I guessed.Naenda kwenye AMG C63
😅 S kavu bado inakupa perfomance nzuri. inaanzia S350 kitu ambacho ni 🔥🔥I guessed.
Umesacrifice luxury over performance. Kwa mimi normal use sioni maana ya M wala AMG. Luxury always.
Ride quality aisee. Suspension za S Class zimekua engineered aisee. Unakunywa whine haimwagiki ata kwenye barabara mbaya.😅 S kavu bado inakupa perfomance nzuri. inaanzia S350 kitu ambacho ni 🔥🔥
Acha uwoga mkuu. Ya mtoa mada ni C Class ya kawaida sio AMG.Mmh!mengine yatupite tuu aisee😅😅😅🙌🙌View attachment 3598582View attachment 3598584View attachment 3598579
Ukisikia luxury ndio hiyo mzee na mwenzao Bentley Flying Spur 😅😅Ride quality aisee. Suspension za S Class zimekua engineered aisee. Unakunywa whine haimwagiki ata kwenye barabara mbaya.
😅😅 kajua hizo alizo kuwa anatazama ya C63 na C63 SAcha uwoga mkuu. Ya mtoa mada ni C Class ya kawaida sio AMG.