Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran kwa ushauri, kakaKaka bora ungetumia reddit kwa hiz model ambazo sio common in tz
Kaka hii post ni Jumapili, leo Jumanne zimepita siku mbili comment tatu... Ngoja nikwambie sababu.... Sababu kubwa hapa hakuna comment ya magari ya hivyo, ungenunua IST ungepata comments nyingi tu hasa zile za kutokula mafuta, sijui wanataka zile maji...Habari wakuu,
Naomba experience kwa mtu amewahi kumiliki gari ya kwenye subject line hapo, petrol option.
Natanguliza shukran.View attachment 3238405
- Changamoto yake kubwa (kama zipo)
- Vitu vya kuwa navyo makini
- Average consumption (japo hii najua mara nyingi ni subject to other factors)
I go for petrol option, autoUnachukua Petrol au Diesel? Auto au Manual?
Kama umeipenda go for it, yapo machache wengi waliopt for BMW X1.
Auto yake ni DCT ila haina issue sana.