Sethshalom
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 586
- 1,013
Habari zenu wadau
Kuna rafiki yangu ameniomba nimuulizie kuhusu hizi gari zote ni milango 3 na za 2003 ,Benz C class kompressor c180 na C200.
ipi ambayo ni nzuri na inafaa kwa matumizi ya familia ya kawaida . Na kwa ujumla izi gari zina sifa gani ,mapungufu na faida zake
Asante sana kwa majibu yenu