Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuiona hii, siku ingine ni-mention. Sasa c180 gani ulioipenda? W202,W203 au W205?Ndugu wana jamvi poleni na majukumu, nimetokea kuzipenda hizi gari, mwenye uzoefu nazo naomba anisaidie kuhusu changamoto zake au ubora wake. Asanteni
mkuu vipi ulaji wa mafuta hasa 204?Sikuiona hii, siku ingine ni-mention. Sasa c180 gani ulioipenda? W202,W203 au W205?
W203-very popular in TZ
![]()
W202-Too old
![]()
w204-Habari ya mujini
![]()
Gari nzuri,cheap to maintain kulinganisha na MB nyingine. Ila hala hala usifikiri spares zake kama Toyota, uwe tayari kutoa 400,000 au 500,000 kwa matengenezo fulani. Shock absorber moja ni 250,000-300,000. Radiator 300,000-400,000 etc.Nimeipenda hiyo ambayo ni popular hapa mjini naomba unisaidie wasifu wake. Thanks..
203/204 zinatumia engine zile zile kunna 271 na 112 ndio maarufu. 271 engine ndogo haili sana mafuta,112 ni v6 inabwia mafuta lakini moto wake i mchezo.mkuu vipi ulaji wa mafuta hasa 204?
Hivi Audi, BMW na Mercedes Benz ipi ni bei kwenye spare?Ipeleke jukwaa la magari utapata mengi ila kwa haraka ni kwamba vipuri vipo juu ila ukifunga ni mkataba
Hii hapa.Hivi Audi, BMW na Mercedes Benz ipi ni bei kwenye spare?
Trust me....even in quality, BMW is superior.Really mkuu?!, how so?
Nilifikiri ingekuwa Mercedes!
Trust me....even in quality, BMW is superior.
I have used both[e-class merc na 5series bmw].....BMW is superb in every category, according to me.Oh! Yea!,..good to know.
Ila najua mziki wa Mercedes si mdogo. Ni ngumu na salama haswa, when it comes to safety.
BMW my favouriteI have used both[e-class merc na 5series bmw].....BMW is superb in every category, according to me.
BMW X6 bei gjamani@rrondoBMW my favourite
Nashukuru mkuu kama nimeweza kuendesha XT 20 hapa town hope hiyo haita nishindaGari nzuri,cheap to maintain kulinganisha na MB nyingine. Ila hala hala usifikiri spares zake kama Toyota, uwe tayari kutoa 400,000 au 500,000 kwa matengenezo fulani. Shock absorber moja ni 250,000-300,000. Radiator 300,000-400,000 etc.
Nunua yenye engine code 111, usinunue 112 au 271.
Ndio nini?Nashukuru mkuu kama nimeweza kuendesha XT 20 hapa town hope hiyo haita nishinda
Inategemea na condition na mwaka.BMW X6 bei gjamani@rrondo