Baba Jazey
JF-Expert Member
- Apr 14, 2016
- 500
- 556
Safi sanaMimi nilinunua Mercedes miaka hiyo ya 2010 hata bila kumuuliza mtu na nilitumia mpaka nikabadili toleo lingine nalolitaka tena nimerudi kwenye Ford ila ntarudi huko tena tukijaaliwa hasa kwenye ile Pick up yao ya Mercedes X nimeielewa sana hizo gari ni kuzingatia miaka ya karibuni tuu isiwe imetumika sana...
Mkuu kuwa mpole unaposhauri wadau waagize spare nje unakuwa umegusa maslahi ya watu, ila ukweli kuagiza kunapunguza garama tofauti na kununua spare nchini Mana Bei ni kubwa alafu spare nyingi no fake.Hizi zote ulizoonesha picha ukiingia AUTODOC na TRODO etc unazipata kwa bei nzuri na delivery ya uhakika. Bro nakuambia from experience.
Hakuna janja janja tena.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Mzee hii nimetumia siku 3. Kuanzia 21 septemba hadi 23 mzigo umefika. DHL Express.Hakuna service ya kukufikishia mzigo siku tatu. Hata DHL inazidi siku tatu. Huko unakoagiza wewe Sisi tushaacha tunanunua kutoka kwa manufacturers. Hata hizo bei za hao unawaagiza ni kubwa kwasababu na wao wanaweka mark up.
Bora uwaambie ukweli watafute kazi nyingine za kujiingizia kipatoMkuu kuwa mpole unaposhauri wadau waagize spare nje unakuwa umegusa maslahi ya watu, ila ukweli kuagiza kunapunguza garama tofauti na kununua spare nchini Mana Bei ni kubwa alafu spare nyingi no fake.
Asante sana Mkuu.Mimi nilinunua Mercedes miaka hiyo ya 2010 hata bila kumuuliza mtu na nilitumia mpaka nikabadili toleo lingine nalolitaka tena nimerudi kwenye Ford ila ntarudi huko tena tukijaaliwa hasa kwenye ile Pick up yao ya Mercedes X nimeielewa sana hizo gari ni kuzingatia miaka ya karibuni tuu isiwe imetumika sana...
Mimi sio fundi, I'm an importer Kila mwezi au miezi miwili naingiza mzigo at least Tzs 20m kutoka Germany,UK etc. Naweka rekodi Sawa tu Kwa watu kama wewe. Few times natumia DHL or Aramex Kwa vitu vidogo vya order. Weka umemunua lini. Umefika lini DHL na umetoka lini tra Hadi wewe uupate.Sio kwamba kila Mzigo ukinunua online eti utafika DHL siku hio hio. Pia supplier wengine hawatumi bongo baadhi ya vitu. Mzigo unaweza kutoka amst Hadi Dar 48 hrs ila mpaka wewe uupate ni zaidi ya muda uliotumia kutoka amst Hadi Dar kwasababu ya clearance.Mzee hii nimetumia siku 3. Kuanzia 21 septemba hadi 23 mzigo umefika. DHL Express.
Twende sawa. Nadhani nyie mjikite kwenye kukusanya labor charges ila kuagiza??? WaBongo siku hizi Wajanja. Kuwapiga bei kali labda wale wenye mawengeView attachment 1955117
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Sawa Importer! Keep importing! Good lucky!Mimi sio fundi, I'm an importer Kila mwezi au miezi miwili naingiza mzigo at least Tzs 20m kutoka Germany,UK etc. Naweka rekodi Sawa tu Kwa watu kama wewe. Few times natumia DHL or Aramex Kwa vitu vidogo vya order. Weka umemunua lini. Umefika lini DHL na umetoka lini tra Hadi wewe uupate.Sio kwamba kila Mzigo ukinunua online eti utafika DHL siku hio hio. Pia supplier wengine hawatumi bongo baadhi ya vitu. Mzigo unaweza kutoka amst Hadi Dar 48 hrs ila mpaka wewe uupate ni zaidi ya muda uliotumia kutoka amst Hadi Dar kwasababu ya clearance.
Mkuu, hapa umedadavua fresh lkn tatizo linabaki palepale kwa sisi wabongo wengi..."UJUAJI." mtu anakubishia tu sababu aonekane anajua zaidi yako. Nilipoanzisha huu uzi na kukutag wewe nilikuwa najua nahitaji nini na nimekipata zaidi ya nilichotegemea. Sema ndio hivyo tena, wakati flani Shamba la Mpunga huwa halikosi Magugu,😄😄.Mimi sio fundi, I'm an importer Kila mwezi au miezi miwili naingiza mzigo at least Tzs 20m kutoka Germany,UK etc. Naweka rekodi Sawa tu Kwa watu kama wewe. Few times natumia DHL or Aramex Kwa vitu vidogo vya order. Weka umemunua lini. Umefika lini DHL na umetoka lini tra Hadi wewe uupate.Sio kwamba kila Mzigo ukinunua online eti utafika DHL siku hio hio. Pia supplier wengine hawatumi bongo baadhi ya vitu. Mzigo unaweza kutoka amst Hadi Dar 48 hrs ila mpaka wewe uupate ni zaidi ya muda uliotumia kutoka amst Hadi Dar kwasababu ya clearance.
Kwa mentality hiyo we endelea na Passo.Mkuu, hapa umedadavua fresh lkn tatizo linabaki palepale kwa sisi wabongo wengi..."UJUAJI." mtu anakubishia tu sababu aonekane anajua zaidi yako. Nilipoanzisha huu uzi na kukutag wewe nilikuwa najua nahitaji nini na nimekipata zaidi ya nilichotegemea. Sema ndio hivyo tena, wakati flani Shamba la Mpunga huwa halikosi Magugu,[emoji1][emoji1].
I Appeciate you Mkuu.
Sijawahi kumiliki na wala sio mpenzi wa magari ya kizungu.Wewe umewahi kumiliki Benz?
Mimi nishawazoea mwaka 2002 nilifanikiwa kurudi na Honda Ballade ilikua automatic kipindi hicho magari mengi yalikua manual kila nikijaribu kuitangaza kuiuza walikua wanasema hizo gari auto zinasumbua mno mno na gari ya kike hiyo nikaamua kuiacha na kusafiri baadae naambiwa wameiekewa na wanaona auto zinaanza kuagizwa nyingi nilighaili kuiuza wakawa wanatumia familia tuu kwa hiyo Watanzania nina uzoefu nao mno hasa kwa vitu wasivovijua wakijazana ujinga wanakataa kitu bora zaidi na kuchukua kitu cha hovyo hovyo kwa bei kubwa na pia kodi kubwa kwenye magari ni pin code ingine watu kutotumia gari nzuri kama wenzetu..Kama Mmiliki naunga mkono hoja. Awakwepe sana wachimba chumvi na watu wa Toyota.
Yani ukishaona mtu anamiliki Toyota hata maswali ya Benz asimuulize kabisa maana wao stori zao hili jini....linabugia mafuta.....spea bei ghali......mafundi hakuna.....zina umeme mwingi....sijui ni gari ya kutoka wikendi kwa wikendi ....
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Kwanza pichani hiyo siyo Kompressor ya 2004.Habari wakuu, Kuna jamaa yangu anahitaji kuagiza Gari hii Mercedes Benz C200 Compressor ya Mwaka 2004. Sasa tumeulizia kwa fundi mmoja anasema jamaa asinunue hiyo gari sababu ni mbovu sana na kwamba Cylinder Head yake ni ya Alluminium hivyo imitokea gari imechemsha mara moja tuu basi ndio mwisho wake.
Sasa najua humu kuna wataalamu wa Magari, naomba msaada wa ushauri au iwapo kama kuna Option nyingine na Mercedes ambayo itafaa kwa Mazingira ya Bongo haswa matembezi ya weekend na trip chache mkoani.
CC: RRONDO , Extrovert
View attachment 1953751
View attachment 1953752
View attachment 1953753
View attachment 1953754
Mimi ushauri wa bureMkuu wewe ungeshauri nini kwa Benz?