Malaika-Hakika
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 238
- 232
Habari wadau kama kichwa kinavyoongea hapo juu nahitaji kununua hilo gari,litahitaji marekebisho madogo maana limekaa mahali kwa muda mrefu kidogo.Plz nahitaji kujua zaidi kuhusiana nalo kutoka kwa wanaolijua kabla sijaingia kichwa kichwa.Nazungumzia maintenance na gharama nyingine.Nashukuru wakuu🤝🤝🤝View attachment 1120936
Kwa shingap?
Inawezakana ameiweka kama sampo kiongozi na akumaanishi hiyo hapo kwenye picha kwani hiyo kwenye picha bado iko piruMkuu naona unatuingiza chaka kwenye hiyo habari ya gari.
1.Hiyo picha ni ya mtandaoni.
2.Gari ni left hand drive na unaona usukani upo kushoto
3.Plate number ni KCY 497 na hiyo plate namba imeandikwa hapo juu kabla ya namba--- Hawaii --na chini-- Aloha State--
4.Kwa maana hiyo gari ipo Hawaii.
5.Naona ni yale yale ya JF kila mtu pesa siyo tabu.
6.Kila la heri na imaginary classic mercedes yako.
Kiongozi inawezekana upo sawa lakini kuna mambo yanaleta ukakasi nikiyafikiria. Si kwamba namkosoa mtoa mada ila nikifikiria hiyo gari ni classic imetolewa 1982 mwisho ni 1993 na mtoa mada kaandika kuwa gharama za vipuri na matengenezo yake atayamudu,hapo hapo anauilizia masuala kama matumizi ya mafuta ! Yaani umudu matengenezo ya classic car kisha uulizie ulaji wa mafuta na upatikanaji wa spea?Inawezakana ameiweka kama sampo kiongozi na akumaanishi hiyo hapo kwenye picha kwani hiyo kwenye picha bado iko piru
Nadhani mwamba kayaotea yale magari nyuma ya nyumba mzee kamwambia ntafutie million 6 ukute akachukulia kama landlover 109 au baloon...German machine hiyo unanunua million 10 unaagiza vipuri nje kwa million 40 kuipa ule uold school custom rideKiongozi inawezekana upo sawa lakini kuna mambo yanaleta ukakasi nikiyafikiria. Si kwamba namkosoa mtoa mada ila nikifikiria hiyo gari ni classic imetolewa 1982 mwisho ni 1993 na mtoa mada kaandika kuwa gharama za vipuri na matengenezo yake atayamudu,hapo hapo anauilizia masuala kama matumizi ya mafuta ! Yaani umudu matengenezo ya classic car kisha uulizie ulaji wa mafuta na upatikanaji wa spea?
Halafu uhangaike kutafuta picha mtandaoni wa gari ambalo halikuwa limelengwa kwa RHD market ndo upost picha,kwa nini usipost picha ya unalotaka kununua ?
Mkuu naona unatuingiza chaka kwenye hiyo habari ya gari.
1.Hiyo picha ni ya mtandaoni.
2.Gari ni left hand drive na unaona usukani upo kushoto
3.Plate number ni KCY 497 na hiyo plate namba imeandikwa hapo juu kabla ya namba--- Hawaii --na chini-- Aloha State--
4.Kwa maana hiyo gari ipo Hawaii.
5.Naona ni yale yale ya JF kila mtu pesa siyo tabu.
6.Kila la heri na imaginary classic mercedes yako.
Haya magari ni machache ,jiandae kuhangaikia spea
Tatizo hadithi yako ni ya uongo
Kiongozi inawezekana upo sawa lakini kuna mambo yanaleta ukakasi nikiyafikiria. Si kwamba namkosoa mtoa mada ila nikifikiria hiyo gari ni classic imetolewa 1982 mwisho ni 1993 na mtoa mada kaandika kuwa gharama za vipuri na matengenezo yake atayamudu,hapo hapo anauilizia masuala kama matumizi ya mafuta ! Yaani umudu matengenezo ya classic car kisha uulizie ulaji wa mafuta na upatikanaji wa spea?
Halafu uhangaike kutafuta picha mtandaoni wa gari ambalo halikuwa limelengwa kwa RHD market ndo upost picha,kwa nini usipost picha ya unalotaka kununua ?
Mkuu naona unatuingiza chaka kwenye hiyo habari ya gari.
1.Hiyo picha ni ya mtandaoni.
2.Gari ni left hand drive na unaona usukani upo kushoto
3.Plate number ni KCY 497 na hiyo plate namba imeandikwa hapo juu kabla ya namba--- Hawaii --na chini-- Aloha State--
4.Kwa maana hiyo gari ipo Hawaii.
5.Naona ni yale yale ya JF kila mtu pesa siyo tabu.
6.Kila la heri na imaginary classic mercedes yako.
Mkuu, umejua hadi model ya gari ila haujui fuel consuption
Mkuu sidhani kama ni simu yako,maana kwenye simu yangu,nilishindwa kusoma maandishi hayo ya chini 'Aloha State' ila niliweza kusoma hiyo namba na maandishi ya juu "Hawaii" Nikahamia kwenye desktop 5K Imac,hiyo iliweka kila kitu clear kamanda wangu.aiesee kuna watu wana simu makini zinatoa picha crear,,mkuu umesoma hiyo plate number maandishi yote umeyaona hapo,!!?
Sasa hii techno yangu inashindwaje,,yani nimejaribu mpaka kuziba jicho moja lkn wapi nimeshindwa kusoma,dah,,!!!
Sijakuelewa ulitaka niiabdikeje broth' nadhani ni vyema ukaniandikia wewe mjuaji wa hadithi yangu mtumishi....[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
Inakula mafuta vizuri sana hasa ukiipata ya dizeli. Vipuli ni vingi ila bei imechangamkaHabari wadau kama kichwa kinavyoongea hapo juu nahitaji kununua hilo gari,litahitaji marekebisho madogo maana limekaa mahali kwa muda mrefu kidogo.Plz nahitaji kujua zaidi kuhusiana nalo kutoka kwa wanaolijua kabla sijaingia kichwa kichwa.Nazungumzia maintenance na gharama nyingine.Nashukuru wakuu🤝🤝🤝View attachment 1120936
Inakula mafuta vizuri sana hasa ukiipata ya dizeli. Vipuli ni vingi ila bei imechangamka