I think that the concept car, wametengeneza ku showcase tu a new technology and style. Lakin haijaanza kutengenezwa kwa ajili ya kuuzwa kwa watu. Walitaka tu kuonesha teknolojia mpya na za kisasa kama vile
1. dereva ana chaguo la kutoendesha hata kidogo. Kwa maana kwamba ukiwa na F 015 Luxury in Motion, gari hujiendesha yenyewe.
2. The exterior features a low-slung front end and a smooth, streamlined roof, huku ikiwa na milango ya kibunifu kukufanya kuingia kwenye gari kwa urahisi zaidi. 3. Kuna viti vinne vinavyozunguka vinavyoruhusu kuanzia dereva mpaka abiria kukaa kwa kuangalia ana kwa ana , pamoja na screen sita zilizojengwa kwa usawa kwenye paneli za mbele, za nyuma na za upande.
4. Digital technology ambao huruhusu abiria kuwasiliana na gari kupitia ishara, ufuatiliaji wa macho na screen touch zenye ubora wa hali ya juu.
5. The walnut trim na soft nappa leather merge with the metal and glass ambayo inakupa a truly luxurious experience
PERFORMANCE
1. Yenyewe ina manual and autonomous driving systems
2. Ina smart Body Structure inayo combines carbon-fiber reinforced plastic, aluminum pamoja high-strength steels
3. A PRE-SAFE® Body Structure that inflates on impact, absorbing the energy of a collision
3. Pia bila kusahau ina Electric drive system capabilities
DESIGN
1. Ina front and rear LED modules ambayo huwasiliana na watembea Kwa miguu kama vile, kumruhusu mtu kuvuka Kwa kutoa ishara, "VUKA" gari inaposimama kwenye zebra ama popote
2. Mfumo wa kuketi na kuweza kuzungusha kiti kama viti vya ma ofisini
3. Sakafu ya mbao ya wazi ya walnut
4. Viti vya ngozi vya nappa nyeupe
5. Display screen sita zilizoundwa katika mzunguko wa 360° kukufanya uwe umuzungukwa screen kila mahali
6. Milango ya mtindo wa saloon ambayo inafunguka 90 ° ili kuweza kuingia kwa urahisi ndani ya gari