Mbali na Magari, Mercedes Benz pia wana lineup ya baiskeli zinazoitwa Mercedes-AMG PETRONAS F1 e-bike, ambazo wameshirikiana na kampuni ya n plus bikes kuzitengeneza.
Zipo za models tatu:
Mercedes-AMG PETRONAS F1 City Edition 750 ($5,500)
Mercedes-AMG PETRONAS F1 Track Edition 750 ($6,500)
Mercedes-AMG PETRONAS F1 Rallye Edition 750 ($7,500)
Bei zote kabla ya usafiri na kodi kama italazimika.
Zinakuja na Motor ya 750W, Top Speed ya 45 km/h na range ya kilometa 113.
Kazi kwenu.