Mercedes, BMW, Volskwagen, Opel and Audi yana soko Tanzania?

Mercedes, BMW, Volskwagen, Opel and Audi yana soko Tanzania?

abcde

Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
38
Reaction score
5
Habari zenu wadau!

Je, magari haya yana soko Tanzania (Mercedes, BMW, Volkswagen, Opel na Audi)? Kama hayana, magai yenye soko sana ni yapi? Asanteni
 
Kuna percent yoyote kwa ushauri? Kingine nikusaidie ungeweka na model ya hayo magari kwani haina maana kwa kutaja tu kampuni husika bila kujua muundo na mwaka uliotoka gari lenyewe upo hapo mpwa wangu?
 
Back
Top Bottom