Wakuu msibandike picha ka hizi manake mwenzenu nikionaga hivi huwa nachanganyikiwa kweli.Sijui nije kumuoa huyu mzungu hapa,sijui nitafute binti mweusi natural ka huyu nyumbani,Sijui nisioe kabisa niwe namega tu,nizalishe watoto wangu mawili hivi basi,yaani kifupi i dont know what i want mazee!