Mercy Killing

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Posts
12,752
Reaction score
7,861
...dah! hii nayo imekaaje? ni mapenzi haya pia?


...your Opinions should based on a scenario whereby, you have to choose between switching off life support machine of your terminally ill loved one, or watch his/her prolonged suffering!
 
imagined scenarios and reality in such issues r completely different, omba tu yasikukute
 
imagined scenarios and reality in such issues r completely different, omba tu yasikukute

...mnh, ni kweli Nkamangi, lakini maishani jitahidi kuwa open minded.

...huenda yasikukute Indirectly, lakini yaweza kukuta ukiwa member of Jury, au mshauri wa familia.
 
Kuuwa ni kuuwa tu, hakuna hoja wala sababu itakayoweza kutosheleza kuhalalisha sababu za mauaji. ni vizuri tukasubiri muda wake mtu ufike kwa kudra za Allah aliyemuumba mja wake.
tusitafute kisingizio cha senario wala sababu nyingineyo yoyote ile.
 
Ka' Mchongoma hao wazungu wamepinda

Hakika nikusubiri tu kudra ya Mwenyezi Mungu kwani kila mtu ana saa na dakika alompangia Mwenyezi Mungu .. hata hivyo huwezi kukata tamaa .. kwani tunasisitizwa kuwa na subra kwa imani ya kiislam .. maana huenda Mungu akaleta faraja na mgonjwa akanyanyukia .. kwani rehma zote ni zake Mola.

Kwa waumini wa diini ya kiislam, kuna dua mtu husomewa akiwa katika hali yakuendelea mda mrefu kuwa kwenye sakaral maut .. yani hali ya kukaribia umauti .. wengine huchukua masaa na wengine hadi masiku na masiku .. tunashauriwa kumlilia tu Mwenyezi Mungu na si vinginevyo .. dua hii huwa inaweza kumsaidia mhusika akapata umauti ama inaweza isiwe makbul .. ila yote ni kwa rehma ya Mwenyezi Mungu.

Mwenye haki ya kutoa uhai ni Mungu pekee .. hata Malaika Israel hutekeleza tu amri ya mwenyezi Mungu.
 
...ama kwa hakika mmejawa wingi wa Imani, mzidishiwe!




...naona Jews nao wana msimamo kama huo, maana mwaka wa tatu huu, haijulikani kama huyu Babu 'alishakufa', au bado anaendelea kuishi kwa mashine.
 
Mimi naona ni sawa, kama unampenda mtu kwanini umwache ateseke? Bora umsaidia kuondoa maumivu. Tatizo binadamu tunafikiri kifo is the worst thing that can happen to someone, but its not.
 
 
Last edited:
Mimi naona ni sawa, kama unampenda mtu kwanini umwache ateseke? Bora umsaidia kuondoa maumivu. Tatizo binadamu tunafikiri kifo is the worst thing that can happen to someone, but its not.

Sasa kama unampenda ndio ukatishe maisha yake? That will be the strange way to show your love!
 
...have your 'hankies' ready...


...wow! ...that is love!!!


...πŸ™πŸ™πŸ™


...that's the power of love!

...tatizo ni kwa wale terminally ill patients, wa magonjwa ya moyo na saratani.
Wahenga wanasema; 'aisifiaye mvua imemnyeshea!' myasikie hivyo hivyo magonjwa hayo.
 
Naamini inauma sana kumuona umpendae akifa katika mateso na taabu za mda mrefu but it pains more kumtanguliza usikokujua!!
 
Sasa kama unampenda ndio ukatishe maisha yake? That will be the strange way to show your love!

Kuna point maisha yanaisha, inakua ni existence tu.
Kama huyo Sharon, unaweza kweli kusema anaishi huyo? mtu ambaye hana brain activity yoyote na ambaye machine ndo inapumua kwa niaba yake? hata kwa ambao wanaamini hadi achukuliwe na Mungu, kumweka mtu kwenye machine sio sawa na kuingilia kazi ya mungu?
 
Naamini inauma sana kumuona umpendae akifa katika mateso na taabu za mda mrefu but it pains more kumtanguliza usikokujua!!

...Calnde, unaonaje hiyo sentensi yako ikisomeka;

Naamini inauma sana kumuona umpendae katika mateso na taabu za mda mrefu but it pains more kumtanguliza usikokujua!!

...well, so long as nasi ipo siku LAZIMA tutamfuata huko tusikokujua, kuna ubaya gani yeye akitangulia, badala ya kumuacha anateseka na mateso ya hapa tunapopang'ang'ania?
 
Mbu, kila mara nikisoma hii dilemma nasita namna ya kutoa maoni. Kuna siku moja nilipata maoni ambayo natumaini yangelifaa lakini mambo yakaingiliana na kuishia kufanya jambo jingine. Nitaendelea kuvizia vizia kwa kuisoma na kuikumbuka, nikiwa na uhakika kuwa kuna siku points zitamiminika na kuweza kui-tackle ipasavyo. Akhsante.


SteveD.
 
Mwenye haki ya kutoa uhai ni Mungu pekee .. hata Malaika Israel hutekeleza tu amri ya mwenyezi Mungu.

....sijui na Bush nae tumfanyaje maaana amesabisha watu wengi kutolewa roho Iraq kwa kupeleka majeshi yake pale....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…