Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Mkuu Mwanakijiji hii imekaaje lakini; nakuwa na hofu nakala zote zisije zikaishia kwenye mikono ya wale wenye mlengo wa kifisadi ama mafisadi wenyewe!
MKJJ mjitahidi sana kuwa na plan B na C maana mafisadi na hata system itakuwa imestuka sana na inajipanga....kudhibiti labda kijarida kisivuje.....nahisi kama kamata kamata itafuata kutisha watu kwenda front.....hasa kulipia....ni mtazamo wangu tu....ila kazi nzuri sana naunga mkono...nchi haina mwenyewe???wananchi twajua wajibu wetu ??hatuwezi kuwawajibisha mafisadi??hadi lini.....
Hongera sana MJJ kwa kazi mnayoendelea. Mimi binafsi nilikuwa na maswali machache:
Having only 100 copies!!
Sababu ya kutoa hii nakala special ni nini? Sio kutaka watu wajue hii ishu kwa kusudi la ku-expose zaidi.
Katika maelezo yako umetoa mfano mzuri wa Ab Ghraib - lakini kumbuka zile ziliwekwa kwenye Youtube.
Pia hao watu 100 watakaopata nakala, utahakikishaje kuwa wataifanyia kazi utakayo wewe? Na Usalama wa Taifa ukijiandikisha na kuchukua zote, itakuwaje?
Kwa kweli hakuna plan "B". Ka"nzi" kamechoka baada ya kukaa kwa madiba karibu wiki nzima!
Du MKJJ
Kwa wale ambao tutataka kujua tu hatuta pata?
Sasa mkuu oda ina ambatana fedha au inakuwaje?
Je oda ikiwa kubwa yaani nikiwa mtu wa 155 nitapata nakala hiyo? Maana naona plan nikutoa nakala 100.
....
Jinsi ya kuipata:
Kutokana na unyeti wa taarifa hii na madai mazito ambayo yametulazimu kutoa tumetengeneza nakala 100 TU. Kila nakala ina namba yake (serialized) na ina ufunguo wake (password protected). Kuna sababu mbili za kufanya hivi: Kwanza, kuhakikisha kuwa ni wale tu ambao wanataka kujua ili watende ndio watapata. Lengo letu siyo kutoa taarifa au kufurahisha genge bali tunataka kuhakikisha hatua muafaka zinachukuliwa. Sababu ya pili ili tulinde kuenea kwake, kwa ajili ya usalama wetu na usalama wa wale waliotusaidia kufanikisha kutolewa kwake, mwezi mmoja baada ya ahadi na ombi letu kwa Waziri Mkuu Pinda ambalo limeenda bila kujibiwa.
....
Oda nakala yako mapema kwani tutafanya kwa mtindo wa aliyewahi mpe first come, first serve.
NB: Email moja kwa nakala moja.
M. M. Mwanakijiji
Consortium of Concerned Tanzanians Intl.
+ 1 248-556-6748
Mzee Mwanakijiji,
This is breaking News.kuna kosa mmefanya moja sana la kiufundi hapa,kwanini mnamwingiza maxenco hapa??
nimepata tarifa toka huko.ni bora copy zitoke marekani .ila ni good move and i second it.Mie nitachukua ka mtu wa this Day coz ninafahamiana naye.
Ila hili litaleta matatizo