Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
OHOOOOOOOO!haumjui max tena?......Sorry Cuzin!...usinisemehe ok...
....na nikashindwa kujibu so nitawaambia watume western union kwa huyo Max...btw Max Melo ndiyo nani sasa?....
OHOOOOOOOO!haumjui max tena?
Yeah simfahamu huyo Max Mello ndiyo nani na ndiyo maana nikauliza maana siyo natuma tuu pesa alafu namtajirisha Fisadi....Ila naona cuzin anafanya naye hii project then atakuwa nimtu muaminifu tuu.
Duh Kelly01...?
Maxence Melo = JF Founder ....ni mdau mkubwa sana wa JF Kelly....just search hilo jina na unaweza kuPM as well kwa clarification zaidi! Is very good guy!
NL...Founder wa jf kwani siyo Invisible?...mmh then i am so lost....all these time najua ni invisible huyo.
copies left: 50 (NEW COPIES)! - Mapato ya 25 yote yanakwenda JF
[/CENTER]
Yeah simfahamu huyo Max Mello ndiyo nani na ndiyo maana nikauliza maana siyo natuma tuu pesa alafu namtajirisha Fisadi....Ila naona cuzin anafanya naye hii project then atakuwa nimtu muaminifu tuu.
Mwanakijiji, copies bado zipo? nataka kukupaypal.
Tolu
ndio tumeongeza leo hadi kesho..
Cuzin weka copy yangu na pesa ipo njiani sawa usije ukaniambia zimekwisha i will chock you!....
ndio tumeongeza leo hadi kesho..
Cuzin weka copy yangu na pesa ipo njiani sawa usije ukaniambia zimekwisha i will chock you!....
Mbogela darling i know ni mkongwe na naingia sana tu kwenye siasa na nime cotnribute a lot kwenye jukwaa la siasa angalia my archieve.........anyhoo thanks!
Mwanakijiji, nimetuma kwa paypal na confirmation #: 958794673P783094L
Ni PM ripoti mkuu niperuze.
Tolu
MMechelewa wapi? mtakuja kurudi siku moja mkute nchi imeshauzwa na mafisadi!!
Mzee MKJJ kwa nini bado unashangaa shangaa njiani? Make a move!umenichekesha.. that is how I felt last night.. we gave a notice a week ago! Ila labda hali ngumu ya uchumi.. and I know wengine watakuja baada ya kupata mshiko wao.
Kuna mtu anaishughulikia saasa hivi.. so check ur email in a lil' bit
Mkuu MM ripoti imeingia, naishusha sasa.
Tolu