Kuna tetesi Meridian Bet wamefilisika; mimi na watu wengine wa tatu ninao wafahamu hela zetu tulizoshinda zipo held under reserve. Uki- trigger malipo kwenda kwenye simu, hakuna kinachoendelea. Simu hazipokelewi customer care.
Gaming board ingilia kati kabla wateja hawajaibiwa na kitapeli wa hela zao