Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...asante anko, salamu nyingi za kuzaliwa Masihi kwako.
Anko, umekuwa ni rafiki mwema sana na sina ha kusema zaidi ya kukutakia sikukuu njema. Unajua kawaida yangu, muziki, mvinyo na yale mambo ya asili yasiyo na mjita
Nisiwasahau shululu , BlessedHope , husna muba , makaveli10
Asante sana MBITIYAZA kwa kunitakia heri. Nami kwa mapenzi ya dhati toka moyoni nakutakia uwe na wakati mwema. Upendo, furaha na amani vitawale kwako. AMEN.mie pia nawatakia sikukuu njema pia jaman
Ngariba1 ,Elli ,Chakuba ,The Bourne ,pnkuru ,Slim5 ,Omerta .,Mkiu Kwetu
Hahaha! Ndio umeshajibu hivyo................... nimekosa la kujibu..........
'wenda'Hahaha! Ndio umeshajibu hivyo.