Wadau wote wa jukwaa la uchumi, wapambanaji wote, waumini wote wa kesho bora, wafuasi wa mawazo chanya, timu ya JF na wadau wengine , kwa niamba ya film Evigt_water tunawatakia christmas njema na mwaka mpya wenye furaha.
Bila kuwasahau wateja waliotusupport kufika tulipo,ASANTENI SANA.
Bila kuwasahau wateja waliotusupport kufika tulipo,ASANTENI SANA.